MASWALI YA MARA KWA MARA

Kuhusu Kadi Yako

Kwa wateja wenye uhusiano na ama CBA au NIC

Je, faida za kadi za sasa zitaendelea kuwepo?

Ndiyo, kulingana na vigezo na masharti ya sasa.
Je, kadi yangu itahitaji kubadilishwa na mimi kupewa kadi yenye nembo mpya?

Kadi yako ya sasa itaendelea kutumika; tutakutaarifu pindi kadi yako itakapohitaji kubadilishwa kwenda kadi yenye nembo mpya.
Je, naweza kuwasiliana na kituo cha huduma za kadi kwa namba ile ile?

Ndiyo, unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba zile zile.
Je, kiwango cha chini cha malipo cha kadi ya mkopo kitabadilika?

Masharti yako ya malipo ya kadi ya mkopo ya sasa, yataendelea kwa vigezo na masharti yaliyopo. Tutakutaarifu iwapo kutakuwa na mabadiliko siku za baadaye.
Je, gharama za kadi ya mkopo zitabadilika?

Hapana, gharama za kadi ya mkopo hazitabadilika, bali zitabaki kama zilivyo. Taarifa rasmi zitatolewa iwapo kutakuwa na mabadiliko siku za baadaye.
Je, kiwango cha matumizi cha kadi yangu kitabadilika?

Kiwango cha matumizi cha kadi yako kitabaki kama kilivyo. Iwapo kutakuwa na mabadiliko baadaye, tutakutaarifu.
Je, mzunguko wa taarifya ya kadi yangu ya mkopo utabadilika?

Hapana, mzunguko wa taarifa ya kadi yako ya mkopo hautobadilika. Mzunguko huo utabaki kama ulivyo, hadi pale utakapotaarifiwa vinginevyo.
Je, tarehe ya malipo ya kadi yangu ya mkopo itabadilika?

Hapana, tarehe ya malipo ya kadi yako ya mkopo itabaki kama ilivyo, hadi pale utakapotaarifiwa vinginevyo.
Nifanyeje iwapo nitapoteza kadi yangu?

Tafadhali wasiliana nasi au tembelea tawi lililo karibu nawe mara moja, ili kuzuia matumizi ya kadi yako na kupatiwa kadi mpya.
Je, ninapaswa kutoa taarifa ninapotarajia kusafiri?

Ndiyo, tafadhali tutaarifu unapotarajia kutumia kadi yako nje ya Tanzania. Iwapo kutakuwa na mabadiliko katika hili siku za baadaye, tutakutaarifu.
Je, iwapo nitasahau neno siri langu, naweza kutembelea tawi lolote kufanya mabadiliko au kufanya hivyo kupitia ATM?

Kwa maswala ya kubadili neno siri, tafadhali omba ‘re- PIN’ kupitia njia ya kawaida. Tafadhali tembelea tawi lako kubadili neno siri.
Nina kadi za mkopo mbili, je naweza kuunganisha kiwango cha matumizi cha kadi zangu na kubatilisha kadi moja?

Ndiyo, unaweza kuunganisha kadi zako kwa kuwasilisha maombi. Kiwango chako kipya cha matumizi kitategemea mchakato wa tathmini ya kadi ya mkopo.
Je, iwapo nina kadi za mikopo mbili, itanibidi kurudisha moja?

Wakati tutakapotoa kadi zenye nembo mpya, utapata kadi moja tu, na kurudisha kadi mbili ulizo nazo sasa. Benki itawasiliana nawe kukupa maelezo zaidi kuhusu vigezo vya utoaji kadi mpya.

Kuhusu Mkopo Wako

Kuhusu Overdrafti

Kwa wateja wenye uhusiano na ama CBA au NIC

Je, kiwango changu cha ovadrafti (OD), kitabadilika?

Hapana. Kiwango chako cha ovadrafti kitabaki kama kilivyo.
Kiwango cha riba cha ovadrafti yangu ya sasa kitakuwaje?

Kiwango cha riba cha sasa kitaendelea, na iwapo kutakuwa na mabadiliko, utajulishwa kwa notisi ya siku 30.
Je, tarehe yangu ya ukaguzi itabadilika?

Hapana. Tarehe yako ya ukaguzi itabaki kama ilivyo.
Nina akaunti tofauti za ovadrafti na benki zote mbili. Je, naweza kuunganisha akaunti zangu?

Akaunti za ovadrafti zitaendelea kwa vigezo na masharti ya sasa. Hata hivyo, unaweza kuwasilisha maombi ya kuziunganisha, ili kurahisisha uendeshaji.
Je, iwapo nitaunganisha akaunti zangu za ovadrafti,kiwango kitabadilika?

Kiwango cha ovadrafti kitaunganishwa, hadi tarehe ijayo ya kuanzishwa upya.
Je, ni tarehe ipi ya kuanzishwa upya itatumika nikiwa nimeshaunganisha akaunti zangu za ovadrafti?

Tarehe ya kuanzishwa upya inayotangulia ndiyo itakayotumika kwa ajili ya ovadrafti zilizounganishwa.

Kuhusu Akaunti Yako

Kwa wateja wenye uhusiano na ama CBA au NIC

Je, naweza kupata huduma kwenye tawi au kituo chochote cha kibenki cha CBA au NIC?

Ndiyo, utaweza kutumia sehemu zote za kutoa huduma za kibenki za CBA na NIC.
Je, benki zote mbili zitabaki na mtandao wa sasa wa matawi pamoja na vituo vingine vya huduma, kama vile mashine za kutoa na kuweka fedha?

Ndiyo, matawi na vituo vyote vitabaki na kuendelea kutoa huduma kwa wateja wote. Iwapo kutakuwa na mabadiliko yoyote, tutatoa taarifa ipasavyo.
Je, nitaendelea kufurahia saa za huduma za kibenki kama ilivyo sasa?

Ndiyo, saa za huduma zitabaki kama zilivyo, kulingana na saa za kazi za matawi za sasa. Iwapo kutakuwa na mabadiliko yoyote, tutakutaarifu ipasavyo.
Je, kutakuwa na mabadiliko katika huduma za kibenki kupitia simu yangu ya mkononi au mtandaoni?

Tumechukuwa hatua kuhakikisha mtiririko rahisi. Utaweza kuendelea kutumia njia hizi kama kawaida. Utaona, hata hivyo mabadiliko ya kusisimua katika muonekano wa njia hizo. Iwapo kutakuwa na mabadiliko yoyote kadiri muda uendavyo, tutakutaarifu.
Najisajili vipi kwa ajili ya huduma kupitia simu ya mkononi, iwapo sijafanya hivyo?

Wateja wa zamanai wa NIC na wateja wa zamani wa CBA Tafadhlai tembelea tawi lililo karibu nawe, ujaze fomu itakayokuwezesha kuunganishwa. Kisha utapokea utaratibu wa kuingia kwenye huduma hiyo, kupitia namba zako za simu za mkononi ulizozisajili.
Je, nazifikia vipi huduma za kibenki kupitia simu ya mkononi, iwapo natumia simu ambayo haijaunganishwa na intaneti?

Huduma zetu za kibenki kupitia simu ya mkononi zinapatikana kupitia USSD, kwa kutumia kifupisha *150*24# kwa wateja wa zamani wa CBA, na wateja wa zamani wa NIC watahitaji kujisajili kwa ajili ya USSD, kama njia mpya.
Nifanyeje iwapo nimesahau neno siri langu?

Wateja wa zamani wa CBA Tumia huduma ya ‘forgot pin’ kwenye app yako ili kujibadilishia neno siri mwenyewe. Utapaswa kuingiza kwa usahihi maelezo ya akaunti yako, na pia kujibu maswali ya usalama uliyoweka wakati wa kujisajili. Wateja wa zamani wa NIC Tembelea tawi au wasiliana na Huduma zetu kwa Mteja, kupitia: Anuani ya barua pepe: Tanzaniacashmanagement&[email protected]; Simu: +255 768 987000
Je, nitaweza kutumia akaunti zangu zote?

Wateja wa zamani wa CBA Isipokuwa akaunti za mikopo, akaunti nyingine zote zilizo kwenye ramani zitaweza kutumika kupitia simu ya mkononi na intaneti. Wateja wa zamani wa NIC Akaunti zote zilizo kwenye ramani na za mikopo zinaweza kutumika kupitia simu ya mkononi na intaneti.
Je, kuna gharama zozote za usajili wa huduma za kibenki kupitia simu ya mkononi?

Hapana. Hatukutozi gharama yoyote kukuunganisha na huduma za kibenki kupitia simu ya mkononi. Gharama zitatozwa tu kwa ajili ya miamala kulingana na orodha yetu ya gharama iliyoidhinishwa, inayopatikna kwenye tovuti yetu.
Je, itanibidi kubadili misimbo ya benki ambayo imekwisha kuambatanishwa kwa walengwa wetu wa CBA Connect na ARCIB?

Hapana, huhitaji kubadili misimbo ya benki ambayo imekwisha kuambatanishwa kwa walengwa waliyopo. Hata hivyo, tafadhali sasisha misimbo hiyo kwa kutumia misimbo ya Benki mpya, ndani ya miezi sita ijayo.
Je, msimbo wa SWIFT utabadilika?

Msimbo mpya wa SWIFT utakuwa CBAFTZTZ
Je, malipo kutoka CBA kwenda NIC, na NIC kwenda CBA, yatafanyiwa vipi kazi?

Uhamishaji utachukuliwa kama uhamishaji fedha za ndani ya benki hiyo hiyo. Hivyo, fedha zitakazohamishwa zitaingia papo hapo.
Western Union

Ndiyo, huduma hizi za utumaji na upokeaji fedha zitaendelea kupatikana.
Je, akaunti zangu za CBA na za NIC zinaweza kupatikana kwenye tawi moja?

Ndiyo, japokuwa tunatoa huduma ya kibenki isiyo na matawi, ambayo inakuwezesha kutumia huduma zetu kutoka mahali popote. Tafadhali wasilisha ombi lililo sainiwa, kupitia kituo cha mawasiliano au tawi lililo karibu, iwapo utapenda kufanya mabadiliko.

Kuhusu Tawi Lako na Njia Mbadala za Kibenki

Go for it.

  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
All Rights Reserved - Go For It 2020.